Mke wa rais ya awamu ya tatu Mama Anna Mkapa  (katikati) leo ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Order of the Smile baada ya serikli ya Poland inayotoa tuzo hiyo inayotambulika Umoja wa Mataifa kutambua mchango wakekatika kuwajali na kulea watoto.
Mama mkapa amekabidhiwatuzo hiyo na Waziri wa Haki za watoto wa Poland Father Andrew jijini dar es salaam na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Mh. Sihaba Nkinga na Mkuu wa Wilaya ya Ilala MheSophia Mjema.