Tarehe kama ya leo ndio Blogger Maganga One alizaliwa na tarehe hiyohiyo ndipo ulipofanywa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar..Hivyo siku hii ni siku maalumu kuishehereke kwa Amani na Upendo.Maganga One Blogger nitaifanya siku hii rasmi kama ni sikukuu pia kwa Blog yetu.Hivyo leo hakutakuwa na habari yoyote.Niwatakie sikukuu njema waungwana wote na wapenzi wa Maganga One Blog.