Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu mikocheni B jijini Dar es salaam.
Taratibu za mazishi zinaendelea na mtatangaziwa mara tu itapokamilika. Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - AMINA |
0 Comments