Follow us: Subscribe via RSS Feed Connect on YouTube Connect on YouTube
Maganga One Blog kwa habari za kitaifa,kimataifa,burudani na michezo kila siku. Tutumie habari na matukio yoyote kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Jul 5, 2017

ISACK KIMAMBO AUKIMBIA UKAPERA RASMI

Bwana harusi Mr Isack Kimambo akimshika mkono mkewe Bi Luvah kwenda kumtambulisha rasmi kwa wazee wake.Harusi hii ilifungwa siku ya jumamosi tarehe 01.07.2017 katika kanisa la pentekoste Tanzania{KLPT}Tegeta jijini Dar es Salaam.

Bwana Harusi Mr Isack akiwa na ndugu na jamaa zake wakiopendezesha harusi yake na mkewe Bi Luvah

Huu ndio ushahidi kwamba hawa ni Mr & Mrs Isack wakionyesha pete zao za harusi ambazo walivalishana kufungana pingu za maisha.

Bi harusi Mrs  Luvah Isack akisindikizwa na mumewe kupeleka keki kwa upande wa wakwe zake

Mrs Isack akiwa katika ubora wake...

Share this article :

0 Maoni:

 
Maganga One Blog © Copyright 2017. All Rights Reserved.

Powered by Maganga One.
Back to TOP