| Al ustadhi Abdulhalim akisoma Quran tukufu katika ufunguzi wa wanafunzi wa chuo chao cha Taqwa Antwerpen. |
| Kiongozi kwa upande wa kina mama kwa kitongoji cha Antwerpen dada Ummy katikati akiwa na mama Beyonce |
| Al ustadhi Hassan akitoa mawaidha na ukumbusho juu ya suala la Eid |
| Mzee Mosi akiwa na ustadhi Man wakifutilia ratiba ya shughuli |
| Madada zetu nao walikuwepo kwenye shughuli za Eid hapo jana |
| Bidada na mtoto wakiwa wametulia vizuri kabisaa kufutailia shughuli na utaratibu mzima unavyokwenda |
| Hijab ikifungwa vizuri huwa haimkatai mtu,mashallah wasichana wa kiislam walipendeza |
| Pichani msichana mdogo anayejulikana kwa jina la Beyonce akitokwa na machozi baada ya kusoma maneno matukufu ya Quran..Allah amuongoze vyema katika suala zima la dini In sha Allah |
| Wanafunzi na Mwalimu wao katikati wa Madrassat Taqwa wakisoma Qasweeda{Picha zote na maelezo kutoka Maganga One} |
| Makamanda nao hawakubaki nyuma kunasa matukio.. |
| Madrassat Taqwa nayo ikifanya yao |
| Mke wa Super star wa Tanzania anajulikana kwa jina la Rahma Manara |
| Muda wa maakuli ulipowadia kwa upande wa kina dada mambo yalikuwa hivii{Picha zote na maelezo kutoka Maganga One} |
| Na kwa upande wa kina baba nao hapakuharibika kitu |
| Dada wangu wa ukweli Faudhia nae akiwa makini kabisaa |
| Mwalim wa Madrassat Taqwa bi Sabah akipata sunna ya mtume |
| Kikosi kazi ambacho nacho kilihakikisha mambo yanakwenda mswano |
| Baba Hajra akitoa shukrani kwa wageni waalikwa |
| Shekh Omary akitabasamu kuashiria Amani |
| Dada Ummy akitoa shukrani za dhati kwa kila mmoja aliyefanikisha shughuli nzima na kwa kila mgeni aliyehudhuria ukumbini hapo{picha zote na maelezo kutoka Maganga One} |
| Dada langu la ukweli mama Mubinnah akiwa makini kusikiliza mawaidha |
| Mama na wana wakipozi vizuri kabisaa |
| La familia |
| Ustadh Sudees akiisoma Quran kwa umakini mkubwa,kijana huyu nae ni kutoka madrasat Taqwa kilichopo Antwerpen |
| Masha'Allah mambo yalikwenda vyema kabisaa. {Picha zote na maelezo kutoka Maganga One} |
| Mr & Mrs Rasheed wakiwa na furaha baada ya shughuli kuisha salama. |
0 Comments