Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili cha Tanganyika (TLS), Tundu Antipus Lissu ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa akitoka nyumbani kwake Area D Dodoma na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hosiptali ya Mkoa wa Dodoma kwa matibabu.
Taarifa zaidi zitawafikia kadri tutakavyokuwa tukizipa. |
0 Comments