Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi manispaa ya Iringa (CCM) Said Rubeya akikambizi vifaa kwa ajili ya kutatua baadhi ya changamoto kwa kununua mashine mbili za umeme za kufulia nguo zenye thamani ya shilingi milioni tatu (3,000,000) na televisheni moja aina ya LG nchi 43 yenye thamani ya shilingi milioni mbili na laki mbili (2,200,000) ili kuboresha maisha ya wananchi wanaohudumiwa na hospital hiyo

Baadhi ya wananchi,makada wa chama cha mapinduzi mkoa wa Iringa na viongozi wa chama hicho waliokuwa wameudhulia makabidhiano ya vifaa kati ya uongozi wa hospital na viongozi wa chama hicho manispaa ya Iringa.
Na Fredy Mgunda,Iringa.
CHAMA
cha mapinduzi manispaa ya Iringa kimetumia zaidi ya shilingi million tano
kuanza kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili hospitali ya Frelimo iliyopo
wilaya ya Iringa kwa kununua mashine mbili za kufulia na televisheni moja aina
ya LG nchi 43.

Akizungumza
wakati wa kukatibidhi vifaa hivyo mwenyekiti wa chama cha mapinduzi manispaa ya
Iringa Said Rubeya alisema kuwa hospital hiyo inakabiliwa na changamoto nyingi
hivyo wameamua kuanza kuzitatua kwa awamu na kuangalia vipaumbele stahili.

“Tulikuja
kwenye ziara hapa na viongozi wangu na tulikutana na viongozi wa hospatali hii
wakatueleza changamoto nyingi sana ambazo ni ngumu kutekeleza kwa siku moja
hivyo tulitoka na vipaumbele vyetu sisi kama chama ndio maana leo tumenza na
hili na tutafuta na jingine” alisema Rubeya

Awali
akisoma risala kwa mgeni rasmi mganga mfawidhi wa hospital hiyo, Dr Pilila
Zambi alisema kuwa hospital hiyo inakabiliwa na changamoto zifuatazo jengo la
vipimo na uchunguzi,wodi ya kulaza wagonjwa,wodi ya watoto,wodi ya kulaza wagonjwa
wa magonjwa ya kuambukiza,jengo la utakasaji wa vifaa,jengo la kufulia
nguo,nyumba za watumishi na ukosefu wa uzio.

Aidha
Dr Zambi aliongeza kuwa hospital hiyo inaupungufu wa vifaa tiba ambavyo
vimekuwa vikikamisha shughuli za kutoa huduma bora kwa wananchi,vifaa hivyo ni
biochemistry machine,hematology machine Viral load analyser,Ultrasound machine
na X-ray machine.

“Tukipata
pia mashine kama mashine ya utakasaji, mashine ya kufulia na automatic genereta
basi hapo tutakuwa tumefanikiwa kutatua changamoto za hospitali na tutatoa
huduma bora kwa wananchi wanakuja kupata huduma katika hospital hii” alisema
Zambi

Rubeya
alisema kuwa kutokana na changamoto hizo ndio maana wameanza na kununua mashine
mbili za umeme za kufulia nguo zenye thamani ya shilingi milioni tatu
(3,000,000) na televisheni moja aina ya LG nchi 43 yenye thamani ya shilingi
milioni mbili na laki mbili (2,200,000)

“Tuliona
tuanze na vifaa hivi vidogo kwasababu inasikitisha kuona kuwa nguo chafu zenye
vimelea vya magonjwa mbalimbali vinapitishwa katika ya mji hadi hospital ya
Rufaa hivyo tukaamua kutatua kwa hii changamoto, pia wauguzi na madaktari
mnatakiwa kujua nini kinaendelea nchi kwetu na nje ya nchi hiyo tukaamua
kuwaletea TV hii kwa ajili ya mafunzo mbalimbali” alisema Rubeya

akizungumza
kwa niaba ya mstahiki meya diwani wa
kata ya mivinjeni Frank Nyalusi amewataka viongozi wote kuleta maendeleo bila
kujali itikadi za kisiasa na kuwashukulu
viongozi wa chama cha mapinduzi kwa kuwafungulia njia ya maendeleo.

“Mimi
binafsi niwapongezee chama cha mapinduzi kwa kazi kubwa mliyoifanya hapa kwa
kutusaidia kutatua changamoto za hospital hii” alisema Nyalusi

0 Comments