Rais Magufuli
Rais Magufuli amemteua Edward Mpogolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida kuanzia leo July 24 akichukua nafasi ya Miraji Mtaturu ambaye amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, kabla ya uteuzi huo Mpogolo alikuwa DAS Dodoma na nafasi yake itajazwa baadaye.