Wachezaji wa timu ya taifa ya Madagasca wakishangilia ushindi wao baada ya kuifunga timu ya taifa ya Congo kwa jumla penati 4-2 baada ya kutoka sare ya goli 2-2 kwa dakika 120 za mchezo.