Akipiga stori na MIKITO, Rose alisema kuwa wasichana wengi wamepoteza mwelekeo kwa sababu mapenzi yamechukua nafasi kubwa maishani mwao, kitu ambacho mimi hakutaka kabisa maana maisha yanakuwa mazuri bila mapenzi.
“Kuna watu wanasema wameumizwa na mapenzi lakini ukweli ni kwamba mimi nilishaumizwa sana jamani, ila kuyapa nafasi ndio sitaki, yanapoteza dira ya maisha,” alisema Rose Ndauka.
0 Comments