Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Mji wa Serikali chenye hadhi ya daraja A, Mtumba Jijini Dodoma, Desemba 2, 2021. Uzinduzi wa kituo hicho ni miongoni mwa matukio maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, wa pili kushoto Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro, Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi, wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)