kiamaapiic

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakati akiwasili kwa ajili ya Kuzungumza na vyombo vya Habari kuhusu Mafanikio ya Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Arusha jana.Picha WFU.