Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi, pamoja na wananchi mbalimbali wa Magara iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara mara baada ya kufungua Daraja la Magara na Barabara Unganishi ya kilometa 5.2 iliopo Babati Vijijini mkoani Manyara