Program nzima iliongozwa na shekh wetu pichani ambaye alikuwa makini kuhakikisha kila kitu kinakwenda vile kimepangwa.
Kijana wetu wa madrassa ustadh Kareem ambaye alisoma vizuri sana Quran siku ya Eid El Hajj
Mr & Mrs .....Wageni wetu toka Holland nao walijumuika nasi katika sherehe za Eid Hajj nchini Belgium,shukrani sana kwa wageni wetu kuitika wito.
Kila mmoja alikuwa makini kusikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa siku hiyo.
Hawa ni baadhi ya watoto wa madrassa yetu,kutoka kushoto ni Sharon,Moza,Kareem,Nabil na Shakur wakipata picha ya pamoja.
Na kwa upande wa kina mama tulipokea wageni wengi sana ambao tulifurahi kuwa pamoja nao kwenye sikukuu ya Eid El Hajj
Nilijumuika kubadilishana mawazo na wageni wetu.
        Kina dada nao walikuwepo siku hiyo na baadhi yao walisoma Quran
     Hawa ni baadhi ya wanachama wa umoja wetu ulioandaa shughuli nzima
Kushoto ni bint Sara akiwa makini kusikiliza mawaidha
 Ndugu yangu Suleiman akiwa na binti yake wakipata flash kuweka kumbukumbu siku ya Eid
Tukipata picha na wageni wetu 
 Kazi ilikuwa kubwa ila tunashukuru kwamba kikosi kazi kilitimia na kuhakikisha kwamba kila kitu kinakwenda sawa.
               Talha akimlisha baba yake keki kama zawadi ya Eid siku hiyo...
Anti Jose akiwa na mama Samy wakipata picha ya kumbukumbu siku ya Eid
Wageni mbalimbali walijumuika pamoja kwenye kubadilishana mawazo 
 Baada ya kuona shughuli inakwenda sawasawa wadogo zetu walikuwa wakifurahi
Wakati wa kuvunja mifupa watu walivunja mifupa ile yenyeweee 
 Vijana wa kazi nao walihakikisha kila kitu kipo sawa kwenye shughuli nzima siku hiyo.
Viongozi.
kwa picha zaidi unaweza kubonyeza hapa chini
MAGANGA ONE EID EL HAJJ PHOTO