Kijana wetu wa madrassa ustadh Kareem ambaye alisoma vizuri sana Quran siku ya Eid El Hajj
Mr & Mrs .....Wageni wetu toka Holland nao walijumuika nasi katika sherehe za Eid Hajj nchini Belgium,shukrani sana kwa wageni wetu kuitika wito.
Kila mmoja alikuwa makini kusikiliza mawaidha yaliyokuwa yakitolewa siku hiyo.
Hawa ni baadhi ya watoto wa madrassa yetu,kutoka kushoto ni Sharon,Moza,Kareem,Nabil na Shakur wakipata picha ya pamoja.
Na kwa upande wa kina mama tulipokea wageni wengi sana ambao tulifurahi kuwa pamoja nao kwenye sikukuu ya Eid El Hajj
Nilijumuika kubadilishana mawazo na wageni wetu.
Kina dada nao walikuwepo siku hiyo na baadhi yao walisoma QuranHawa ni baadhi ya wanachama wa umoja wetu ulioandaa shughuli nzima
Kushoto ni bint Sara akiwa makini kusikiliza mawaidha |
Tukipata picha na wageni wetu
Kazi ilikuwa kubwa ila tunashukuru kwamba kikosi kazi kilitimia na kuhakikisha kwamba kila kitu kinakwenda sawa.Talha akimlisha baba yake keki kama zawadi ya Eid siku hiyo...
Anti Jose akiwa na mama Samy wakipata picha ya kumbukumbu siku ya Eid
Wageni mbalimbali walijumuika pamoja kwenye kubadilishana mawazo
Baada ya kuona shughuli inakwenda sawasawa wadogo zetu walikuwa wakifurahi
Wakati wa kuvunja mifupa watu walivunja mifupa ile yenyeweee
Vijana wa kazi nao walihakikisha kila kitu kipo sawa kwenye shughuli nzima siku hiyo.
1 Comments
however I know I am getting knowledge every day by reading thes good articles or reviews.
my page - visit website