| Kwa upande wa kina baba nao walishiriki vyema katika kupata sadaka ya Iftar hapo jana |
| Mama Sara na Sara nao walikuwepo katika sadaka ya Iftar iliyoandaliwa na Shekh Yusuf na Mkewe Khasser |
| Mama Nasrine nae alikuwepo katika sadaka ya Iftar hapo jana |
| Kijana Mansoor akiwa na mama yake nao walikuwepo kupata sadaka ya Iftar iliyoandaliwa na Shekh Yusuf na mkewe |
| Vijana kazi ambao walifanya kazi vyema kabisaa |
| Kina mama wakiendelea kupata Iftar |
| Muda wa Iftar na kina mama wakiendelea kupata sadaka |
| Mama Beyonce na watoto wake pia walikuwepo |
| Mama Husna akipata huduma stahiki kutoka kwa Ally Mlangi |
| Mama Cauthal akiwa na binti zake pia nao walikuwepo |
| Mtaalamu wa misitu Kamanda wa makamanda akitoa huduma kwa ndugu Gebo hapo jana |
| Mama Nusayr akipata sadaka iliyoandaliwa na Shekh Yusuf na mkewe hapo jana |
| Gebo na kijana wake Msham wakipata sadaka ya Iftar |
| Kina baba wakiendelea kupata sadaka |
| Eddy wa Mol akishiriki vyema katika kupata Iftar hapo jana |
| Kwa upande wa kina baba nao wakiendelea kupata Sadaka |
| Kina baba wakifuturu |
| Dada yetu kipenzi chetu Khasser akiingia ukumbini muda mfupi kabla ya Futar kuanza |
| Ally akisamdia dada yetu kupata chai |
| Kwa upande wa kina mama wakipata Iftar |
| Kina baba wakipata Iftar |
| Kamanda akisoma dua kabla ya kuanza kula |
| Shekh Yusuf akitabasamu huku akiendelea kuweka mambo sawa hapo jana katika Iftar ambayo aliianda jana yeye na mkewe na kuwakaribisha ndugu,jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali. |
| Abdul akipata Iftar |
| Team Antwerpen katika ubora wao. Shukrani. Maganga One team inatoa shukrani za dhati kwa Familia ya Yusuf na mkewe Khasser kwa mualiko wa Iftar hapo jana,Allah atawalipa kwa sadaka yenu. |
1 Comments